Asanteni sana kwa kutembelea blog. Leo nimefika 1000 mark and I am so happy.
Mungu awatunze. Endelea kutembelea, comment, share and enjoy.
With love,
Agape
Wataalamu wanasema ingawa haijajulikana haswa kwanini wanawake wanapata sana chunusi/pimples wakati wa ujauzito ila inaaminika chunusi husababishwa na ongezeko la homoni hasa miezi mitatu (3) ya kwanza ya ujauzito na kufanya mafuta ya kwenye ngozi kuongezeka na hivyo kusababisha chunusi. Ni jambo la kufurahi pia maana inaonyesha kuwa uko vizuri.
Chunusi huwa hazifurahishi, ila wataalamu wanashauri,
Kwa wale ambao mlishawahi kuwa wajawazito na mlio wajawazito sasa mnajua dhiki ya kutema mate sana. Sasa leo naomba niwaambie vile vitu vinaweza kuwasaidia ambavyo vimesaidia wanawake wengine..jpg)
Happy Valentines day in advance to you. Nafurahi leo kupost sehemu ya mwisho ya Love Dare. Naomba umshirikishe rafiki, jirani na ndugu yaho kuhusu hizi Love Dare hujui ni nani utakaye msaidia. Naomba nikutakie kila la heri.
38. Love Fulfills Dreams: Ask yourself what your mate would
want if it was obtainable. Commit this to prayer, and start mapping out a plan
for meeting some (if not all) of their desires, to whatever level you possibly
can. ![]() |
Ninaamini unaendelea vizuri. Naamini pia kuwa unafanyia kazi Love Dare kidogo kidogo. Mungu akutie nguvu maana sio rahisi.
28. Love Makes Sacrifices: What is one of the greatest needs
in your spouse’s life right now? Is there a need you could lift from their
shoulders today by a daring act of sacrifice on your part? Whether the need is
big or small, purpose to do what you can to meet the need.