Friday, January 23, 2015

Jina la mtoto

Jina gani unampa mtoto?

Siku moja nilikosea jina la mtu mmoja kwenye mtihani wa historia nikiwa O-level. Nilienda kwa mwalimu nikamwambia point yangu ilikuwa sawa na amenipa alama kidogo akaniambia umekosea jina la mtu.

Nilishangazwa ila mwalimu aliniambia kuwa jina la mtu ni Identity yake. Jina linampa mtu utofauti kati yake na mwingine, hata mapacha wana majina tofauti

Baadhi ya watu wanaamini majina yanamahusiano ya kiroho na mtu.

Tahadhari: Usimpe jina mtoto kwa kufuata mkumbo.

Jina la mtoto ni muhimu sana na kwa baadhi ya watu, tabia zao zinafanana na majina yao.



Happy Parenting and a pleasant weekend

No comments: