Habari,
Nilipata msukumo wa kuanzisha blog baada ya kuwa kwenye group inayoitwa Young Mothers Club. Sasa nilipoanza blog niliita jina hilo ila vingi nilivyonavyo moyoni vinahusu jinsia zote mbili ikabidi niite young parentz club. Sasa nashindwa kubadili address kwa sababu ya settings nilizofanya.
Address itabaki kuwa youngmotherzclub.blogspot.com ila jina ndio Young Parentz Club.
Samahani kwa usumbufu ila ilikuwa ni muhimu kwa faida ya wengi.
Young Parents best friend to parenting
With love,
Agape
No comments:
Post a Comment