Wednesday, January 14, 2015

Tembelea hapa kwa mapumziko

Habari za asubuhi,

Moja ya sababu ya kuipenda sana kazi yangu ni kuwa inanipa fursa ya kutembelea sehemu nzuri sana. Nilipata bahati ya kufika Kiliview Lodge.
Hapa mahali ni pazuri sana na nilifikiri ni sehemu nzuri sana kwa mapumziko binafsi lakini zaidi kwa fungate(Honeymoon). 

Unatazama mji wa Moshi kutoka hapo. What a view.

Kwa wale mnaopenda adventures hapa ni safi sana.
Displaying IMG_20141205_120905.jpg

Enjoy

No comments: