Sasa nimeiona hii napenda kukushirikisha mawazo mazuri ya kufanya nyumba yako ionekane nadhifu na hutumii pesa nyingi maana unafanya tu na vitu ulivyomaliza kuvitumia kama box za cereals za watoto au vikopo vilivyoisha vitu. Wazungu wanasema una recycle na Do It Yourself (DIY). Tazama picha na tembelea tovuti yao kwa maelezo zaidi.
Follow this link too: http://www.amazinginteriordesign.com/10-awesome-diy-desk-organizers-home/
na DIY Tutorial via showmehowto.net.
All the best.
No comments:
Post a Comment