I hope you are all well. Leo I am in my finest spirit and I am so happy I wish you could see me right now. Uwiii I thank God for another day to have you as my reader.
Karibu tuendelee na Healthy Living.
Ngoja nikwambie siri ya kuamua kubadilika...I am a work in progress so kuna siku hii list itazidi.
1. Change is HARD.
2. Get MOTIVATED
Ask yourself, "What is my motivation?"
3. Find your INSPIRATION
For the purpose of the topic, Inspiration kwangu ni kama role model a person you are looking at for inspiration. Watu hawa ni muhimu sana, anaweza kuwa mtu usiyemfahamu kabisa lakini mwenye story ambayo inafanana na wewe na ukajiona unaweza kuwa kama yeye, inaweza kuwa mtu unayemfahamu kabisa.
Mimi nilipata wadada kadhaa kwenye blogs siwafahamu ila wamekuwa inspiration. Maza wa Maznat Bridal, Shamim wa 8020 fashions, Dotty Kipeja wa OMGift, Lavidoz wa Lavidos Style na Dina Marios. Wafuate kwenye Instagram na mitandao na utaenjoy
4. You can't do it ALONE
- kukutia moyo,
- kuwa accountable kwao
- Na unaoweza kushare frustartion zako nao.
Mimi nilipata bahati ya kujiunga na group ya Dina Marios Health group ya Whatsapp na imekuwa msaada sana. Hata hao wadada niliowataja hapo juu wao pia wanaumoja wao.
Join somewhere.
To be continued.....
Thank You.
ATM
No comments:
Post a Comment